Sunday, September 13, 2009

Tuesday, September 8, 2009

MABWENI YA WASICHANA



Mabweni ya wasichana kinampanda TC.

Mabweni haya yanauwezo wa kulaza wanachuo 240. Na kila chumba kinachukua wanachu wawili wawili.

MABWENI YA WAVULANA



Mabweni haya yana uwezo wa kulaza wanafunzi 40 kila bweni,na mabweni haya yapo sita.

Kila chumba cha bweni kina uwezo wa kulaza wanachuo wawili.

OFISI YA TEHAMA KINAMPANDA TC


Katika ofisi hii kunafundishwa kozi ya komputa kwa wanachuo na watu kutoka nje ya chuo kwa malipo maaalumu kama mradi wa chuo.
Pia zinapatikana huduma za kuperuzi mitandao,kutoa nakala na vingine vingi.

NEMBO YA CHUO



WELCOMING FACE KINAMPANDA TC